Mabadiliko Yanayokusudiwa
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tangu macheo ya Uislamu, mapambano kati ya Iman na ukafiri yamekuwa makali zaidi. Kwa hakika mapambano baina ya Haki na Batili yalianza na kushadidi tangu Mwenyezi Mungu alipomuumba Adam, akamfundisha, akamuamrisha, na akamkataza.