Uislamu ni Fikra na Njia (Twariqa)
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika kipindi cha kuanguka kwa Waislamu, fikra ya Dini miongoni mwa Waislamu ilichukua ufahamu wa Wamagharibi, ambao ni ukasisi.
Katika kipindi cha kuanguka kwa Waislamu, fikra ya Dini miongoni mwa Waislamu ilichukua ufahamu wa Wamagharibi, ambao ni ukasisi.
Si ajabu kwa kafiri kuishi katika dunia hii, akiwa amesahau kuhusu maisha ya Akhera, bila kukhofu nini kitatokea kwake.
Kuna baadhi ya Waislamu wanahoji kuwa kuurejesha tena mfumo wa Mwenyezi Mungu (swt), Khilafah kupitia njia ya Utume kuwa ni jambo lisilowezekana, kama wanavyodai kuwa mataifa yenye nguvu ya dunia kama Marekani, dola za Ulaya, Urusi, China na mengineyo yataungana kuivunja itakaporegea.
Mwanaadamu ni kiumbe, cha kibinafsi na pia ni kiumbe cha kijamii, kiasi cha kuwa balaa la kibinafsi na la kijamii humuathiri
Tuko katikati ya mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kama Waislamu, tunafahamu baraka na malipo yanayo ambatana na mwezi huu mtukufu.
Kifo na mwisho wa maisha haya imekuwa ni kitu kisicho cha maumbile na kiko mbali.
Funzo moja muhimu ambalo virusi vya Korona vimeifunza dunia, ni kuwa mmoja ya mkaazi wake mdogo kabisa ameweza kuvuruga maisha kama tunavyo yafahamu.
Kama tutaichunguza historia ya maambukizi kwa upande wa muda na mahala, tungeweza kuona kuwa mataifa hayakuwa huru kutokana na udharura na kuenea, kama tauni, ikiwemo tauni nyeusi na homa ya mafua ya aina zote...
Mara nyingi huweza kuwa ni vigumu kuona hasara, misiba, na mabalaa ikiwemo maambukizi ya sasa, kwa namna yoyote isiyokuwa ile isiopendeza.
Maafisa wa afya wameshughulishwa na matokeo ya kutowiana juu ya Waamerika weusi.