Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Sweden: Maandamano ya Kuwaunga mkono Ndugu zetu Waislamu wa Turkestan Mashariki

Hizb ut Tahrir nchini Sweden iliandaa maandamano mbele ya Ubalozi wa Uchina kupinga mateso na ubaguzi unaofanywa na Utawala wa Kikomunisti wa Uchina kwa Waislamu Wauighur Turkestan Mashariki. Mfanyakazi wa Ubalozi wa Uchina alifungulia mziki kwa sauti ya juu sana kupitia spika za sauti ili kuvuruga maandamano licha ya polisi kuwaonya wazime mziki.

Mfanyakazi wa Ubalozi wa China alipuuza onyo ya polisi na akaendelea kupiga mziki. Hizi ni mbinu za kikafiri za Utawala wa Kikomunisti wa Uchina dhidi ya Uislamuu na Waislamu. Makafiri hawa wanawatesa Waislamu nchini Uchina, kuwatia gerezani, kuwaadhibu na kuwaua kinyama!

(قاتلهم الله أنى يؤفكون)

“Mwenyezi Mungu awaangamizilie mbali! Vipi wanapotoka na haki?” [Al-Munafiqun: 4]

Jumatano, 06 Jumada al-Awwal 1441 H  -  01 Januari 2020 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoIjumaa, 06 Machi 2020 09:33

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu