Jumatatu, 23 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Taliban Waliwasili jijini Moscow kama Wafanyibiashara badala ya Kufikisha Risala kutoka kwa Mwenyezi Mungu!

Mnamo Agosti 15, shirika la habari la Kormesant.ru liliripoti: "Taliban" (harakati inayotambuliwa kama ya kigaidi na iliyopigwa marufuku katika Shirikisho la Urusi) inakusudia kuanzisha biashara ubadilishanaji na Urusi. Waziri wa Viwanda na Biashara wa Imarati ya Kiislamu ya Afghanistan, Nuriddin Azizi, alisema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi jijini Moscow.

Soma zaidi...

Kujumuishwa kwa Aliyekuwa Msemaji wa Al-Shabab katika Serikali ya Kidemokrasia nchini Somalia

Mwanzilishi mwenza na msemaji wa zamani wa harakati ya Mujahidina ya Al-Shabab, Mukthar Robow ameteuliwa kuwa Waziri wa Masuala ya Kidini na Waziri Mkuu wa Somalia. "Tunakaribisha uteuzi wake. Hatua hiyo itaendeleza maridhiano na itakuwa mfano mzuri kwa uasi wa ngazi za juu kutoka al-Shabab," alisema mchambuzi wa kisiasa Mohamed Mohamud.

Soma zaidi...

Ili Kupata Mabadiliko Halisi, Achaneni na Demokrasia na Itisheni Nusra kwa ajili ya Khilafah

Vikao vya mahakama moja ya wilaya ya Islamabad 17 Agosti 2022 iliidhinisha kuwekwa rumande kwa siku mbili kwa kiongozi wa PTI, Shahbaz Gill, kwa ombi la polisi wa mji mkuu. Hakimu pia alielekeza afisa wa upelelezi, kupanga uchunguzi wa matibabu wa Bw. Gill, na kuwasilisha ripoti kwa mahakama hiyo.

Soma zaidi...

Fedheha kwa Michakato ya Kulinda Amani ya Umoja wa Mataifa Nchini Congo (DRC)

Jumatatu tarehe 25/08/2022, wakaazi wa mji wa mashariki wa Beni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) walivamia afisi za Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kuleta Utulivu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (UN-MONUSCO) wakiandamana kutokana na kushindwa kwa miradi hiyo ya Umoja wa Mataifa kulinda maisha yao.

Soma zaidi...

Kauli za Rais Erdogan kuhusiana na Heshima ya Kieneo ya Syria, Ambazo Amezitoa kwa Kila Fursa, Zinamaanisha Kuukubali kimyakimya Utawala wa Assad, ambao Umekuwa Ukiwachinja Kikatili Waislamu kwa Miaka Mingi

Waziri wa mambo ya nje Mevlut Cavusoglu alisema, "Operesheni hizi zina umuhimu katika suala la heshima ya kieneo ya Syria na Iraq. Endapo hatungefanya hivi, sio DAESH wala YPG-PKK ingeondolewa. Hatuwezi kubaki walegevu dhidi ya mashambulizi. "

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu