IMF Yausakama Uchumi wa Pakistan
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waziri Mkuu Imran Khan mnamo Jumatano alihutubia taifa kutangaza kifurushi cha kupunguza hali ngumu ya umma ulioathiriwa na mfumko wa bei.
Waziri Mkuu Imran Khan mnamo Jumatano alihutubia taifa kutangaza kifurushi cha kupunguza hali ngumu ya umma ulioathiriwa na mfumko wa bei.
Pentagon hivi karibuni ilitangaza kwamba shambulizi la droni za Amerika jijini Kabul mnamo tarehe 29 Agosti na kuua raia 10 wasio na hatia, wakiwemo wanawake na watoto, lilikuwa kosa la kujutia lakini halikuwa utovu wa nidhamu wala ukiukaji wa sheria.
Mfumo wa Upendeleo Jumla (GSP) kwa bidhaa za Bangladesh katika soko la Amerika ulisimamishwa mnamo mwaka wa 2013. Mojawapo ya masharti ya kuregesha manufaa ya GSP ilikuwa kukomeshwa kwa ajira ya watoto.
Kuna simu nyingi, lakini ahadi chache thabiti. Hivi ndivyo mazungumzo ya nchi za G20 kuhusu suala la mabadiliko ya hali ya hewa yalivyomalizika.
Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’I, ameshtumu vikali kitendo cha kushambulia msafara wa Naibu Rais William Ruto katika eneo la Magharibi mwa Kenya kilichofanyika tarehe 23 Oktoba, 2021.
Serikali ya Uganda ina sera mpya ya kukabiliana na ufisadi kwa kuwafanya watoto kupeleleza familia zao.
Mnamo tarehe 19 Oktoba 2021, BBC iliripoti kwamba shambulizi la anga katika mji wa Tigray nchini Ethiopia liliua raia.
Mnamo tarehe 12 Oktoba 2021, BBC iliripoti kuhusu Mkutano wa G20 wa nchi zenye uchumi mkubwa ambao umeahidi kusaidia Afghanistan kwa msaada wa mabilioni ya dolari ili kuepusha janga kubwa.
Mnamo tarehe 10 Oktoba 2021, Waziri Mkuu Imran Khan alitangaza kuanzishwa kwa Mamlaka ya Rehmatul-lil-Alameen (Rehema kwa Wanadamu) nchini ili kuhakikisha utekabikishaji wa mafundisho ya Mtume Mtukufu (saw) katika jamii.
Siku ya alkhamis 07/10/2021 Profesa mstaafu wa lugha ya Kiingereza na fasihi baada ya ukoloni na mwandishi wa riwaya Abdulrazak Gurnah alishinda tuzo ya Nobel katika fasihi yenye thamani ya medali ya dhahabu na pesa milioni 10 krona za Uswidi (dolari milioni 1.14)