Vichwa Vya Habari 13/06/2020
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni takriban muongo mmoja sasa baada ya Raisi Obama kuanza kuligombania bara la Asia. Uhasama kati ya Amerika na China umefikia kileleni.
Ni takriban muongo mmoja sasa baada ya Raisi Obama kuanza kuligombania bara la Asia. Uhasama kati ya Amerika na China umefikia kileleni.
Je, Amerika Inaweza Kukataa Kulipa Deni la Dolari Trilioni Moja kwa China kwa kuvitumia Virusi vya Korona kama Silaha ya Kibaolojia?
Mamlaka ya juu kabisa ya kidini nchini Misri imemshutumu Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, juu ya mpango wake wa kutaka kugeuza jumba la makumbusho la Hagia Sophia kuwa msikiti.
Unyanyasaji wa Trump wa Waandamanaji Wanaopinga Ubaguzi wa Rangi Inaonyesha Mgawanyiko Demokrasia Huru
Janga la virusi yya Korona huenda likaugharimu uchumi wa ulimwengu kati ya dolari Trilioni 5.8 na dolari trilioni 8.8 (euro trilioni 4.7 hadi euro trilioni7.1)...
Mamluki 1200 wa Urusi wanapigana upande wa Haftar nchini Libya
Mporomoko wa Sasa wa Kiuchumi wa Ulaya ndio Mbaya Zaidi Tangu Vita Vya Pili vya Dunia, Ripoti zinaonyesha.
Virusi vya Korona: Trump Aendelea Kushikilia Nadharia kuwa Maabara ya China Ndio Chanzo cha Virusi vya Korona
Usambazaji wa chakula duniani kote “utavurugika kwa kiwango kikubwa” kutokana na virusi vya korona, na watu wenye matatizo makubwa ya njaa wataongezeka maradufu, hadi pale serikali zitakapo chukua hatua, baadhi ya kampuni za chakula zilionya.