Jumanne, 03 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

[لَنْ يَضُرُّوكُمْ إِلَّا أَذًى وَإِنْ يُقَاتِلُوكُمْ يُوَلُّوكُمُ الْأَدْبَارَ ثُمَّ لَا يُنْصَرُونَ]

“Maadui hawatakudhuruni ila ni maudhi tu. Na wakipigana nanyi watakupeni mgongo, na tena hawatanusuriwa.” [Aali-Imran 3:111]


(Imetafsiriwa)

Hawa ndio Mayahudi kutoka zama za Banu Qaynuqa, Banu Nadir, Banu Qurayza, na kisha Khaybar. Wanaendelea katika urongo, udanganyifu, uovu, ufisadi, uoga, na udhalilishaji. Mwenyezi Mungu amezungumza Ukweli,

[ضُرِبَتْ عَلَيْهِمُ الذِّلَّةُ أَيْنَ مَا ثُقِفُوا إِلَّا بِحَبْلٍ مِنَ اللهِ وَحَبْلٍ مِنَ النَّاسِ]

“Wamepigwa na udhalili popote wanapo kutikana, isipo kuwa wakishika kamba ya Mwenyezi Mungu na kamba ya watu.” [Aali-Imran 3:112]. Wamekata kamba ya Mwenyezi Mungu, na walichobakisha tu kwao ni watu kutoka nchi za Kikafiri, wanafiki, na watawala wasaliti katika nchi za Waislamu!

Vijana wa kiume walivamia ngome za Mayahudi wakiwa kwenye pikipiki na hata kwa miguu, wakakamata magari ya kivita ya Kiyahudi, kuwaua na kuwakamata wale waliokuwa wamejihami mno na silaha nyingi. Hawa ni watu ambao, pamoja na silaha zao za kibinafsi, na kwa nyoyo zao na akili zao, waliwapiga kutoka kila upande! Hawawaogopi, lakini badala yake wanapiga takbira na hawakimbii. Wanatamani ushindi katika ulimwengu huu, na baada ya kufa, watafurahi katika bustani ya Pepo. Baraka zile kwao duniani na akhera, ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu na ushindi wa karibu.

[وَأُخْرَى تُحِبُّونَهَا نَصْرٌ مِنَ اللهِ وَفَتْحٌ قَرِيبٌ وَبَشِّرِ الْمُؤْمِنِينَ]

“Na kinginecho mkipendacho, nacho ni nusura itokayo kwa Mwenyezi Mungu, na ushindi ulio karibu! Na wabashirieni Waumini!.” [As-Saf 61:13].

Ama kile kinachosikitisha, ni watawala wa Ruwaibidha katika nchi za Waislamu, haswa wale wanaozunguka Palestina, ni kana kwamba hawaoni wala hawasikii,[صُمٌّ بُكْمٌ عُمْيٌ فَهُمْ لَا يَرْجِعُونَ]  “Viziwi, mabubu, vipofu; kwa hivyo hawatarejea.” [Al-Baqarah 2:18]. Wako karibu nao, lakini hawawezi kuwaona, kana kwamba Ardhi Iliyobarikiwa haiwahusu, bali ni kana kwamba wako upande usio kokote, wakitazama yanayoendelea kana kwamba wako katika ardhi ya mbali na sio kama ni misikiti wa tatu kwa utakatifu na cha kwanza katika Qiblatayn! [أَلَا سَاءَ مَا يَحْكُمُونَ]  “Tazama uovu wa wanavyohukumu!” [An-Nahl: 59].

Vipi lau watawala hawa wangevamia mipaka yao na Palestina na kuwasaidia ndugu zao waliopigana kwa miili yao na silaha ambazo hazikufikia kiwango cha silaha za adui yao! Je! Majeshi ya Waislamu vinawezaje kubaki kimya na kutochukua hatua wakati wanashuhudia mapigano huko Palestina na dhidi ya watu wa Palestina! Je! Wanawezaje kukataa kuwapa nusra watu wa Palestina, Ardhi Iliyobarikiwa, Isra Wal Miraj (safari ya usiku na kupaa) ya Mtume (saw)?!

[سُبْحَانَ الَّذِي أَسْرَى بِعَبْدِهِ لَيْلاً مِنَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ إِلَى الْمَسْجِدِ الْأَقْصَى الَّذِي بَارَكْنَا حوله]

“SUBHANA, Ametakasika aliye mchukua mja wake usiku mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka Msikiti wa Mbali, ambao tumevibariki vilivyo uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia na Mwenye kuona.” [Al-Isra 17:1]. Je! Wanawezaje kufuata maagizo ya wale wasaliti, watawala vibaraka?! Je! Utiifu kwa mabwana zao utawafaidi katika udhalilifu na fedheha kabla ya wale waliopigwa na udhalilifu na uduni kupata hasira za Mwenyezi Mungu ambao wanaikalia kimabavu Palestina, Ardhi Iliyobarikiwa, kwa msaada wa watawala hawa vibaraka?!

[يَوْمَ تُقَلَّبُ وُجُوهُهُمْ فِي النَّارِ يَقُولُونَ يَا لَيْتَنَا أَطَعْنَا اللهَ وَأَطَعْنَا الرَّسُولَا * وَقَالُوا رَبَّنَا إِنَّا أَطَعْنَا سَادَتَنَا وَكُبَرَاءَنَا فَأَضَلُّونَا السَّبِيلَا * رَبَّنَا آتِهِمْ ضِعْفَيْنِ مِنَ الْعَذَابِ وَالْعَنْهُمْ لَعْناً كَبِيراً]

“Siku ambayo nyuso zao zitapinduliwa pinduliwa katika Moto. Watasema: Laiti tungeli mt'ii Mwenyezi Mungu, na tungeli mt'ii Mtume! Na watasema: Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tuliwat'ii bwana zetu na wakubwa wetu; nao ndio walio tupoteza njia. Mola wetu Mlezi! Wape wao adhabu mara mbili, na uwalaani laana kubwa.” [Al-Ahzab 33:66-8].

Tunatambueni kuwa kuwaacha watu wa Palestina wapigane na Mayahudi peke yao, bila kuandamana nao, bali, bila ya majeshi ya Waislamu kusonga mbele pamoja nao kwa kuwa ushindi tunaoutaka ni wa kuikomboa Palestina kutoka kwa chukizo la Mayahudi na kuliondoa umbile lao. Ushindi huu hautafikiwa isipokuwa majeshi ya Waislamu yawaangamize, wakiongozwa na dola aminifu, ambayo inafanikisha ushindi wazi.

Kwa kuongezea hili na kwamba, hawa Ruwaybidha watatoweka, na Dola ya Kiislamu, Khilafah Rashida, itarudi, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Kupigana na Mayahudi na kuondoa uvamizi wao itatokea, Mwenyezi Mungu akipenda. Al-Sadiq al-Masduq (saw) amesema katika Musnad Ahmad kutoka kwa Hudhayfah:

«...ثُمَّ تَكُونُ خِلَافَةً عَلَى مِنْهَاجِ النُّبُوَّةِ» “...Kisha itakuwepo Khilafah kwa njia ya Utume.” Al-Bukhari pia amepokea kutoka kwa Abdullah bin Omar (ra) aliyesema: Nilimsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) akisema,

«تُقَاتِلُكُمْ الْيَهُودُ فَتُسَلَّطُونَ عَلَيْهِمْ ثُمَّ يَقُولُ الْحَجَرُ يَا مُسْلِمُ هَذَا يَهُودِيٌّ وَرَائِي فَاقْتُلْهُ» “Mayahudi watapigana na nyinyi, nanyi mtapewa ushindi juu yao kiasi kwamba jiwe litasema, ‘Ewe Muislamu! Huyu hapa Yahudi nyuma yangu; basi muuwe!'” Pia, Musilim amesimulia kimaneno kutoka kwa Ibn Umar, kutoka kwa Mtume (saw) aliyesema,

«لَتُقَاتِلُنَّ الْيَهُودَ فَلَتَقْتُلُنَّهُمْ حَتَّى يَقُولَ الْحَجَرُ يَا مُسْلِمُ هَذَا يَهُودِيٌّ فَتَعَالَ فَاقْتُلْهُ» “Kwa yakini mtapigana na Mayahudi, na kwa yakini mtawauwa mpaka jiwe litasema: ewe Muislamu huyu hapa Yahudi basi njoo umuuwe.” Kisha dunia itang’aa kwa ushindi wa Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye uwezo, Mwenye hekima.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu al-Firdaws al-a'la (bustani za juu zaidi za Pepo) kwa waliokufa mashahidi wa Palestina na kwa waliojeruhiwa kupata afueni kamili itakayo ondoa ugonjwa wote. Tunamuomba pia (swt) kwamba watawala vibaraka wa Waislamu na wafuasi wao kutoka kwa makundi ya upotofu wasifanikiwe. Hakuna hata mmoja wa watu hawa atakayefaulu kubadili matokeo ya mapigano kutoka kwa ushindi hadi kushindwa, kutoka kuliangamiza umbile la Kiyahudi hadi kuimarisha nguvu yake, na kutoka kwa ushindi wazi hadi kupotoka kuelekea kushoto na kulia! Badala yake, maneno ya Mwenyezi Mungu juu ya Mayahudi yametimizwa:

[لَنْ يَضُرُّوكُمْ إِلَّا أَذًى وَإِنْ يُقَاتِلُوكُمْ يُوَلُّوكُمُ الْأَدْبَارَ ثُمَّ لَا يُنْصَرُونَ]

“Maadui hawatakudhuruni ila ni maudhi tu. Na wakipigana nanyi watakupeni mgongo, na tena hawatanusuriwa.” [Aal-i-Imran: 111].

H. 23 Rabi' I 1445
M. : Jumapili, 08 Oktoba 2023

Hizb-ut-Tahrir
 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu