Mfumo wa Kisekula Hauwezi Kupambana na Virusi vya Korona
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mfumo wa kibepari uliojengwa juu ya itikadi ya kisekula unafichuliwa na janga la virusi vya Korona.
Mfumo wa kibepari uliojengwa juu ya itikadi ya kisekula unafichuliwa na janga la virusi vya Korona.
Kwa muda mrefu, Amerika imepuuza kutambua kujitolea na matendo ya kusifika ya Mujahideen wa zamani na kuyakanyaga. Badala yake daima humuweka mtu aliyejitolea zaidi, kidemokrasi na kisekula katika madaraka ambaye kihisia na kiakili hausiani na watu wa Afghanistan kamwe.
Mwaka 2020 unaadhimisha miaka 25 ya Azimio la Beijing na Mpango wa Utendaji (BPfA), ni waraka mpana ambao ulikuwa ni matokeo ya Kongamano la Kiulimwengu la nne la UN kuhusiana na Wanawake lililofanyika mnamo Septemba 1995, huko Beijing, Uchina.
Baada ya miezi sita ya machafuko ya uchaguzi juu ya matokeo yake, wagombea wawili wa mbele waliapishwa kama maraisi wa Afghanistan katika sherehe tofauti za kiapo. Wote wameuita ushindi wao kama "ushindi wa Jam huri na Demokrasia".
Hizb ut Tahrir / Malaysia ilifanya maandamano ya amani mbele ya Ubalozi wa India, Kuala Lumpur mnamo 06/03/2020, kupinga mauaji ya Waislamu nchini India, haswa mjini New Delhi.
Kumbukumbu ya maumivu inapita siku hizi, ambayo ni kumbukumbu ya kuvunjwa kwa Khilafah kupitia mhalifu wa karne hii, Mustafa Kemal, tarehe ishirini na nane Rajab 1342 H, sawia na Machi 3, 1924 M.
Miaka tisini na tisa ... Huu hapa mwaka mwingine umepita katika maisha yetu, na kumbukumbu ya kuvunjwa kwa Khilafah imerudi kutuzuru tena,
Tangu Februari 24, 2020, mji mkuu wa India, Delhi, umekuwa ukishuhudia mauaji yanayotekelezwa na wanaoabudu ng’ombe dhidi ya Waislamu. Zaidi ya Waislamu 40 wameuawa na zaidi ya 200 wamejeruhiwa.
Katika siku hii, 03/03/1924 M sawia na 28 Rajab 1342 H, wasaliti katika Waarabu na Waturuki wakishirikiana na makafiri wa kikoloni wakiongozwa na Uingereza kwa wakati huo, na kuiangusha dola ya Khilafah, dola ambayo iliwaunganisha na kuwalinda Waislamu.
Mipaka ya kizalendo ambayo inapigiwa debe na kulindwa na serikali za kirasilimali inapelekea mateso makubwa sana kwa watu.