Je, Mumemuona Mtetezi wa Demokrasia (Amerika)?
- Imepeperushwa katika Tanzania
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam umewaonya raia wake juu ya mzozo wa sasa wa kisiasa kati ya serikali na vyama vya upinzani.
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam umewaonya raia wake juu ya mzozo wa sasa wa kisiasa kati ya serikali na vyama vya upinzani.
Amri iliyotolewa na hayati Aboud Jumbe, aliyekuwa rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyefariki wiki iliyopita akiwa na miaka 96, ya jinsi mazishi yake yatakavyo fanywa imeonyesha zaidi uovu wa fahamu ya utaifa machoni mwa kila mmoja.
Kufuatia msusuru wa matukio ya kuchomwa shule na wanafunzi ambapo sasa imefikia shule 105, Hizb ut Tahrir / Kenya ingependa kuangazia yafuatayo:
Waziri Mkuu wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, kwa sasa yuko katika ziara rasmi ya nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara barani Afrika. Ziara yake ilianzia nchini Uganda, ikifuatiwa na Kenya, Jumanne 04 Julai 2016.
Harakati ya Kiislamu ya Hizb ut Tahrir inakemea vikali mauaji ya kikatili ya Wakili Willie Kimani na watu wengine wawili akiwemo mteja wake Josephat Mwenda. Hiki ni kitendo cha kinyama hususan baada ya miili hiyo mitatu kupatikana imetupwa katika mto huku macho ya mmoja ya miili hiyo yakiwa yamenyofolewa.
Kwa munasaba wa Mwezi wa Kheri wa Ramadhani, Chama cha Kisiasa cha Kiislamu Hizb ut Tahrir Kenya kina watakia Waislamu wote nchini Kenya na kote duniani kwa jumla Ramadhani Kareem na Saumu Maqbul.
Serikali ya Tanzania imemfuta kazi Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga kwa madai ya kufika Bungeni huku akiwa mlevi ambapo ilimfanya kushindwa kujibu vyema maswali ya Wabunge wakati wa kikao cha bajeti.
Chama cha Kisiasa cha Kiislamu cha Hizb ut Tahrir Kenya kimesikitishwa sana na hatua iliyochukuliwa na vyombo vya usalama nchini Kenya kusitisha Kongamano lao jijini Mombasa. Kongamano hilo chini ya kauli mbiu "Khilafah Tuitakayo kwa Njia ya Utume" lililo andaliwa kufanyika mnamo Jumapili 8 Mei 2016 kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi jioni lilisimamishwa dakika ya mwisho kwa madai ya 'sababu za kiusalama'.
Katikati mwa Februari 2016, serikali ya Tanzania ilitangaza rasmi kuwa haitaruhusu wafanyi biashara kuagiza sukari nchini isipokuwa wakiwa na leseni maalumu kutoka Ikulu. Hatua hiyo ilichukuliwa kwa msingi wa kile kinachoitwa 'kuvilinda viwanda vya ndani vya sukari'.
Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir Wilayah Pakistan ilituma wajumbe kwa Tume ya Haki za Kibinadamu Afisi za Pakistan jijini Karachi, Lahore na Islamabad.