Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi: Dkt. Youssef Haj Youssef (Abu Al-Harith)
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria inaomboleza kwa Waislamu jumla na kwa watu wa Ash-Sham haswa, mmoja wa Mashababu wake mbeba dawah ambaye pia anajulikana kwa akhlaqi yake njema.