Tangazo la Matokeo ya Kuutafuta Mwandamo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan wa Mwaka 1442 Hijria
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu, na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote, Muumba wa wanadamu na Mtumaji wa manabii pamoja na risala, Mshindi wa wenye nguvu na Mtawala juu ya waja,