Modi Anabadilisha Idadi ya Watu ya Kashmir kwa Nguvu, Ilhali Serikali ya Bajwa-Imran Inazuia Majeshi ya Pakistan kwa Utiifu wa Upofu kwa Amerika
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Licha ya janga maambukizi ya virusi vya Korona, serikali ya kimabavu wa Modi ilitoa vyeti vipya 430,000 vya ukaazi katika Kashmir Iliyokaliwa ili kubadilisha idadi ya watu kwa nguvu kupitia "walowezi" katika eneo hilo,