Makubaliano ya Imarati na Mayahudi… Khiyana juu ya Msitari wa Unafiki Unaoonekana
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika taarifa ya pamoja mnamo 13 Agosti 2020, Imarati, Amerika na umbile la Kiyahudi zilitangaza makubaliano baina ya Raisi wa Amerika Donald Trump, Waziri Mkuu wa umbile la Kiyahudi Netanyahu,