Makubaliano ya Imarati na Bahrain Pamoja na Umbile la Kiyahudi ni Khiyana Kubwa dhidi ya Palestina Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh iliandaa Visimamo vya Kulaani dhidi ya Makubaliano Haya
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh leo (Ijumaa, 25/09/2020) baada ya swala ya Ijumaa iliandaa maandamano katika misikiti tofauti tofauti jijini Dhaka na Chittagong dhidi ya makubaliano ya khiyana ya Imarati na Bahrain pamoja na umbile la Kiyahudi.