Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Khilafah
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kutoka ukurasa huu tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan kwa mwito "Wakati wa Khilafah Umewadia" katika mwezi mtukufu wa Rajab wa mwaka huu wa 1443 H mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 H ya kuvunjwa Dola ya Khilafah tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.