Jumamosi, 09 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/12
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir/ Malaysia: Kongamano la Rajab la Khilafah la Mtandaoni 1443 H Islam Kaffah Unaweza Kupatikana Chini ya Khilafah Pekee

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H na kuhitimishwa kwa kampeni pana iliyoziduliwa na Hizb ut Tahrir / Malaysia katika mwezi mzima wa Rajab 1443 H kwa kichwa “Uislamu Kaffah Unaweza Kupatikana chini ya Khilafah Pekee"

Soma zaidi...

Ziara ya Ujumbe kutoka Harakati ya Jihad Al-Islami nchini Palestina kwa Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Lebanon

Ndani ya muundo wa ziara za pande zote kati ya Hizb ut Tahrir / Wilaya ya Lebanon na vyama vya kisiasa vya Lebanon na Palestina, ujumbe wa ndugu katika Harakati ya Jihad Al-Islami nchini Palestina mnamo tarehe 16/2/2022 ukiongozwa na Mkuu wa Mahusiano ya Kiislamu wa Harakati ya Jihad Al-Islami nchini Lebanon Hajj Shakib Al-Ayna,

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Kongamano la Kiuchumi Mjini Tatvan Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika kituo cha kitamaduni mjini Tatvan, katika jimbo la Bitlis, lililopewa kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi!" Sambamba na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Halaqa ya Mjadala Mjini Esenyurt Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", na sanjari na mnasaba wa kumbukumbuka ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika hoteli ya Akgun katika jimbo la Istanbul.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu