Jumatatu, 27 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Tangazo la Trump Huku Watawala Wakikosa Kuchukua Hatua Yoyote Mbele Yake Ni Kofi Zito Migongoni Mwao Amewavua Hata Sitara iliyo Wafinika Uchi Wao

Usiku wa leo tarehe 6-7/12/2017 Trump ametangaza Al-Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa dola ya Kiyahudi: “Katika barua kutoka ikulu ya White House mnamo Jumatano, raisi wa Amerika Donald Trump aliitambua Jerusalem kama mji mkuu wa “Israel” na kuamuru Wizara ya Kigeni ya Amerika kufanya matayarisho ya kuhamisha ubalozi wake kutoka mji wa Tel Aviv mpaka Jerusalem, na kuanza kandarasi na wajenzi…

Soma zaidi...

Hatimaye, Viziba Uso Vimeanguka kutoka Nyusoni mwa Vibaraka wa Marekani, Erdogan, Rouhani na Putin. Wameshughulishwa na uwakala wa kuhakikisha wanamhifadhi kibaraka wa Marekani ndani ya Syria, ili Marekani imakinike kutatua Janga la Korea na China

Siku ya Jumatano 04/04/2018, maraisi wa Urusi, Iran na Uturuki walikutana mjini Ankara, na kutoa kauli yao ya mwisho. Ilikuwa wazi kutokana na kauli hiyo, ima kupitia kauli ya maandishi au kwa yaliyofichika…kwamba wao watatu wameamua kuhakikisha wanaudhibitisha utawala wa kibaraka wa Marekani ndani ya Syria, na kusitisha muamko wa watu wa Syria wa kutaka kusimamisha utawala wa Kiislamu.

Soma zaidi...

Uamuzi wa Kuwasamehe Watu Wote Nakith (aliye vunja kiapo), Tarik (aliye ondoka chamani), Mu’akab (aliye adhibiwa)

UamuNimepokea risala nyingi kutoka kwa baadhi ya ndugu zetu wakiniomba kuzingatia upya (uamuzi) juu ya watu wote walio vunja kiapo (Nakith), walio ondoka chamani, au wanao adhibiwa tangu kuasisiwa kwa chama hiki mnamo 1372 H – 1953 M na kuwasamehe watu wanao stahiki kusamehewa; kwa kuwapa fursa mpya ya kubeba ulinganizi huu, huenda wale watakao pewa fursa hiyo wakaitumia vizuri ili wakakutane na Mwenyezi Mungu hali ya kuwa ni wasafi na wenye ikhlasi, na yeyote atakaye samehe …

Soma zaidi...

Risala Kutoka kwa Mwanachuoni Mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah Katika Siku Kuu ya Idd ul-Adha Yenye Baraka ya Mwaka 1439 H Ikiafikiana na Mwaka 2018 M

HotubKwa wabebaji ulinganizi, Mashabaab na Mashabaat wa Hizb ut Tahrir, wabebaji ulinganizi wasafi na wachaMungu, ingawa hatumtakasi yeyote mbele ya Mwenyezi Mungu, wale wanaozungumza maneno ya kheri na kutenda vitendo vyema, na kisha kama natija yake Mwenyezi Mungu akawasifu wale wenye sifa hizi:

Soma zaidi...

Risala Kutoka kwa Mwanachuoni Mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah Katika Siku Kuu ya Idd ul-Adha Yenye Baraka ya Mwaka 1440 H Ikiafikiana na Mwaka 2019 M

Assalamu Alaikum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh, Mwenyezi Mungu aukubali utiifu wenu, na Mwenyezi Mungu aifanye Idd yenu ijae kheri na baraka. Mwenyezi Mungu aikubali Hajj ya waliohiji, na Mwenyezi Mungu aifanye iwe Hajj iliyo kubaliwa, na juhudi zilizo pokewa na dhambi zilizo samehewa.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu