Ijumaa, 01 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Taarifa kwa Vyombo vya Habari Mtume (saw) amesema, «مَنْ ‌حَمَلَ عَلَيْنَا السِّلَاحَ فَلَيْسَ مِنَّا» “Yeyote atakayebeba silaha dhidi yetu, si katika sisi.” Chini ya Kisingizio cha Usumbufu, Mamlaka ya Palestina Inashirikiana na Mvamizi katika Ucho

Mamlaka ya Palestina (PA) ilifanya uhalifu wa kinyama zaidi Jumatano hii asubuhi kwa kumuua kijana Abdulqader Zaqdah, ambaye alijeruhiwa wakati wa uvamizi wao kwenye kambi ya Tulkarm. Wengine kadhaa pia walijeruhiwa.

Soma zaidi...

Katikati ya Mvutano wa Nchi za Kikoloni juu ya Ushawishi nchini Yemen ni Khilafah Rashida ya pili kwa Njia ya Utume Pekee ndiyo Itakayomaliza Mateso ya Watu wa Yemen

Mnamo siku ya Jumatano, maandamano maarufu yalianza kwa siku ya pili mfululizo katika Jimbo la Aden. Waandamanaji walifunga barabara katika vitongoji vya Mansoura na Sheikh Othman. Maandamano hayo yalijumuisha majimbo jirani ya Lahj na Abyan, juu ya hali mbaya ya maisha na kuongezeka kwa bei za juu, pamoja na kukosekana kwa huduma msingi kama vile umeme, maji, na huduma za afya, ambazo zimeyasibu Majimbo hayo kusini mwa Yemen kwa miaka mingi.

Soma zaidi...

Sauti Zinazounga Mkono Ushoga Zisingeongezeka Lau si kwa Ufisadi wa Mamlaka na Kutokuwepo kwake hata katika Utabikishaji wa Sheria Walizoanzisha!

Mamlaka ya kisiasa imetoweka, nguvu yake imefifia, na, pamoja na wabunge wake, walipuuza hata vifungu vya katiba walivyovipitisha, ambavyo vinakemea waziwazi na uchafu na ufuska. Waliwaacha watu kwenye hatima yao mbaya, hata katika kupata huduma msingi kama maji na umeme.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu