Jumatano, 16 Safar 1446 | 2024/08/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  6 Rabi' II 1444 Na: HTS 1444 / 11
M.  Jumatatu, 31 Oktoba 2022

 Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Mkao wa Kadhia za Ummah
(Imetafsiriwa)

Sisi katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan tunafurahi kutoa mwaliko kwa ndugu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na wasomi kuhudhuria na kushiriki katika Mkao wa Kadhia za Ummah wa kila mwezi, ambao unashughulikia masuala ya kisasa, chini ya kichwa:

Hotuba ya Kisiasa ya Ubaguzi wa Rangi... Ni Khilafah pekee ndiyo inayoweza Kuiangamiza

Wazungumzaji wa mkao:

1- Ustadh Nassir Ridha – Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

2- Ustadh Wakili Ahmed Abkar – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir

Mwenyekiti wa Mkao: Ustadh Ibrahim Musharrif – Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan

Tarehe: Jumamosi, 11 Rabi' al-Akhir 1444 H sawia na 5 Novemba 2022 M, saa tano asubuhi.

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, - Khartoum Mashariki/ Barabara ya Al-Mak Nimr Magharibi makutano ya Barabara ya 21 Oktoba

Wale ambao hawateweza kuhudhuria wanaweza kutufuatilia katika mitandao ifuatayo:

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/HTSudan/

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir: https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu