Ijumaa, 20 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  13 Rajab 1444 Na: HTS 1444 / 28
M.  Jumamosi, 04 Februari 2023

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Haishangazi kwamba wale waliomfanyia Khiyana Mwenyezi Mungu, Mtume wake na Waumini kuweka Mikono yao kwenye Mikono ya Mayahudi Wanyakuzi Wauaji
(Imetafsiriwa)

Mnamo Alhamisi, tarehe 02/02/2023, Waziri wa Mambo ya Nje wa umbile la Kiyahudi, Elie Cohen, na ujumbe aliofuatana nao walikutana na Rais wa Baraza Kuu la Utawala wa Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, mbele ya Waziri Mteule wa Mambo ya Nje, Balozi Ali Al-Sadiq, na kwa mujibu wa ukurasa rasmi wa Baraza Kuu la Utawala, mkutano huo uligusia uhusiano wenye tija na umbile la Kiyahudi na kuimarika kwa matarajio ya ushirikiano wa pamoja kati ya Khartoum na Tel Aviv katika nyanja za kilimo, afya, maji na elimu, hasa katika nyanja za usalama na kijeshi.

Katika wakati ambapo umbile la Kiyahudi linasherehekea, linanajisi Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqswa, kuua vijana wa Palestina, kubomoa nyumba juu ya vichwa vya wakaazi wake, na kuvamia miji, kambi n.k., wakati huu ambapo vijana wa Palestina wanaonyesha ushujaa mbele ya watawala Ruwaibidha, watawala wa Sudan wanakutana na uongozi wa Al-Burhan, pamoja na wauaji, wahalifu, wanyakuzi wa ardhi ya Al-Masra, na Kibla cha kwanza cha Waislamu, na kuweka mikono yao mikononi mwao, wakitamani kubakia kwenye viti vya utawala kwa gharama ya damu ya vijana wasio na ulinzi huku serikali ikifanya kazi na umbile la Kiyahudi kuharibu akili zao, na kutia sumu miili yao kwa dawa za kulevya ambazo umbile la Kiyahudi inazisukuma nchini Sudan, halafu waziri wa mambo ya nje wa umbile la Kiyahudi anajigamba kwamba anataka mahusiano yenye matunda.

Sisi katika Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan tunajiepusha mbele ya Mwenyezi Mungu na mkutano huu uliowaleta pamoja wale waliomfanyia khiyana Mwenyezi Mungu, Mtume Wake, na Waumini, na kuweka mikono yao katika mikono ya wale ambao mikono yao imejaa damu ya watoto, wanawake, na wazee wa Palestina, ardhi ambayo Mwenyezi Mungu ameibariki, na tunamwambia Al-Burhan na walio pamoja naye, kwamba nyinyi hamuwakilishi Waislamu wa Sudan. Na mkipanda treni ya khiyana ya usawazishaji mahusiano pamoja na waliokutangulieni kutoka wale watawala waovu katika baadhi ya nchi za Kiarabu, itazidisha tu fedheha yenu duniani na adhabu iumizayo kesho Akhera ikiwa hamtatubu na kuregea, na kwamba Umma wa Kiislamu hautarajii kutoka kwenu chochote zaidi ya kunyenyekea huku na kuwaegemea maadui hawa waporaji, na siku itafika hivi karibuni ambapo Ummah utanguruma na kukuondoeni mithili ya koko za tende. Kisha watu wenye ikhlasi wenye nguvu na ulinzi wataipata nusra Hizb ut Tahrir, ili iregeshe Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, ambayo itawakusanya Umma ulioko ng’ambo, kukata mkono wa makafiri wa kikoloni, na kuliondoa umbile la Kiyahudi, katika kuyathibitisha maneno ya kipenzi Muhammad (saw):

«لَتُقَاتِلُنَّ الْيَهُودَ فَلَتَقْتُلُنَّهُمْ حَتَّى يَقُولَ الْحَجَرُ يَا مُسْلِمُ هَذَا يَهُودِىٌّ فَتَعَالَ فَاقْتُلْهُ»

Mutapigana na Mayahudi na mutawauwa mpaka jiwe litasema: ewe Muislamu, huyu hapa Yahudi (amejificha nyuma yangu) basi njoo umuuwe.”

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 0912240143- 0912377707
http://www.hizb-sudan.org/
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu