Ijumaa, 24 Rajab 1446 | 2025/01/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  7 Sha'aban 1444 Na: HTS 1444 / 36
M.  Jumatatu, 27 Februari 2023

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Mkao wa Kadhia za Umma
(Imetafsiriwa)

Sisi, katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Sudan, tunafuraha kutoa mwaliko kwa ndugu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na wanafikra na maoni, kuhudhuria na kushiriki katika Mkao wa Kadhia za Umma wa kila mwezi, ambao unashughulikia masuala ya hivi karibuni, chini ya kichwa:

“Kwa Nini Watawala Huwa Haraka Sana Kutabikisha Usekula na Maagizo Yenye Maangamivu?!”

Wazungumzaji:

1- Mhandisi Ahmed Jaafar – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir.

2- Dkt. Muhammad Abdul Rahman – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir.

Muongozaji Mkao, Ustadh Khaled Abdullah – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir.

Tarehe: Jumamosi 12 Sha’ban 1444 H sawia na 04/03/2023 M, saa Tano asubuhi.

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan, Khartoum Mashariki – Magharibi mwa makutano ya Barabara ya Al-Mak Nimr na Barabara ya 21 Oktoba.

Wale ambao hawataweza kuhudhuria wanaweza kutufuatilia kupitia mitandao ifuatayo:

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/HTSudan/

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Chaneli ya YouTube ya Hizb: https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Kuhudhuria kwenu ni heshima kwetu.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa
Hizb ut Tahrir
katika
Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu