Vipi Khilafah Itakavyo Unda Familia Imara
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Nguvu na utulivu wa familia ya Waislamu wakati mmoja iliwahi kuwa sifa ya kipekee ya Ummah huu wa Kiislamu.
Nguvu na utulivu wa familia ya Waislamu wakati mmoja iliwahi kuwa sifa ya kipekee ya Ummah huu wa Kiislamu.
Mapinduzi ya kiviwanda 4.0 yalitangazwa kama ajenda ya kiulimwengu katika Kongamano la Kiuchumi la Kiulimwengu la mwaka 2016, yaliwasili kama mafuriko makubwa katika biladi nyingi za Waislamu.
Ili kuunda Nidhamu ya Elimu ya Daraja ya Juu Kabisa ya aina hiyo yahitaji nidhamu ya kisiasa ya daraja ya juu kabisa – nidhamu inayo kumbatia ruwaza ya kisiasa ya kipekee, ya hali juu na huru kwa dola yake na kwa ulimwengu, iliyo jengwa kwa msingi wa ayah hiyo ya juu – kuwatoa watu kutoka katika giza la ujinga wa ukafiri na kuwapelekea katika nuru ya Uislamu na uadilifu na mafanikio unayoleta kwa wanadamu katika kila nyanja ya maisha – kiroho, kiakili, kiakhlaqi, kisiasa, kiuchumi, na katika sayansi na teknolojia.
Uislamu hutazama utafutaji elimu ya Kiislamu kuwa faradhi kwa wanawake na wanaume.
Uislamu umeipa hadhi kuu heshima kwa wanawake. Dalili kadha wa kadha za Kiislamu zinawawajibisha wanaume na mujtama kuwatazama na kuamiliana na wanawake kwa heshima na daima kulinda hadhi yao.
Leo kuna zaidi ya dola hamsini za Waislamu, zote zikidai kuwa Uislamu ndio dini yao na chimbuko la utambulisho wao. Dola zote hizi daima ziko katika mchakato wa kujenga na kujenga upya matumaini ya kufaulu katika malengo ya maendeleo yaliyowekwa na Wamagharibi.
Tangu Makafiri walipovunja Khilafah Ottomaniya kwa mikono ya Mustafa Kamal, vibaraka Waingereza tangu kubuniwa kwao miaka 94 miladia iliyopita, Ummah wa Kiislamu haujaona zuri lolote isipokuwa kuwa nyuma ya mataifa, ukiishi chini ya hali halisi iliyojaa machungu na fedheha, udhaifu na utumwa.
• Tangu kuvunjwa kwa Khilafah 1924, usalama umekosekana ndani ya ulimwengu wa Waislamu, na kuwapelekea Waislamu kukosa mlinzi dhidi ya uvamizi wa madola ya kiulimwengu na kimaeneo, mapambano baina ya Waislamu yaliyo dhaminiwa kutoka nje na mabomu ya droni na kupelekea damu za Waislamu kukosa thamani.
Ili kuendesha mambo ya dola na watu, kila dola inahitaji pesa. Chini ya urasilimali pesa hizi kimsingi hukusanywa kupitia riba na ushuru wa moja kwa moja na usio wa moja kwa moja.