Dola ya Kitaifa, ni Fikra Duni, Yenye Athari ya Maangamivu kwa Wanadamu
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwishoni mwa karne ya 19, wito wa fikra ya utaifa wa dola ya wasomi bandia wa wakati huo, ambayo imesababishwa na hadhara ya Kimagharibi, imekuwa na athari haribifu katika taasisi ya kisiasa ya Khilafah.