Michezo ya Runinga: Kiwanda Kinacho Sambaza Uovu wake Juu ya Familia na Jamii!
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Michezo ya runinga imekuwa maarufu miongoni mwa watu wa umri wote walio na tofauti katika kupenda kwao.
Michezo ya runinga imekuwa maarufu miongoni mwa watu wa umri wote walio na tofauti katika kupenda kwao.
Japokuwa mawasiliano ya kieletroniki ya habari yamefupisha masafa, yamekuwa njia fupi ya kupelekea talaka na mizozo ya ndoa.
Neno uharibifu hivi sasa nimaarufu linajadiliwa katika muktadha wa uchumi wa kidijitali kwamba ni kukosa umakinifu kwa biashara duniani kwani njia za kibiashara za zamani zimepitwa na wakati.
Nini maana ya mwanamke kuwa mama, mke na mke nyumbani kwa mujibu wa itikadi inayokataa maadili yote ya utu, akhlaqi, au ya kiroho kwa sababu inaona kuwa manufaa ndio kipimo cha vitendo na kwamba manufaa ndio mizani na kinacho pimwa? Itikadi hii huona kuwa wanadamu huthaminiwa kwa mujibu wa uzalishaji wao ndani ya mujtamaa na kwa kiwango cha mapato yao ya kimada!
Kuenea kwa ghasia ndani ya ndoa kumekuwa ndiyo ada kwa kuendelea kuongezeka kwa idadi ya wanawake na watoto katika biladi za Waislamu.
Ndoa ni moja katika mahusiano muhimu tutakayojifunga nayo maishani mwetu. Ni fungamano linaloathiri na lililokitwa chini ya mafungamano mengine muhimu, kwa mfano mafungamano tutakayokuwa nayo na watoto na wajukuu wetu.
Ummah wa Waislamu ni mmoja, lakini kivitendo tumegawanyika zaidi ya mataifa 50. Kila dola ina katiba yake na utekelezwaji wa Uislamu safi unatofautiana katika kila nyanja kuanzia kubwa hadi ndogo.
Tunapozungumzia kuhusu familia, tunazungumzia kuhusu kiini kinachounda jamii, na hivyo basi, ufisadi wowote au dosari yoyote inayoathiri kiini hiki itaonekana katika jamii na dola nzima, achilia mbali kuzungumzia kuhusu mchakato wa mpangilio wa ufisadi wa kiini hiki, na vipi ikiwa ufisadi huu utafanywa chini ya masikio ya dola na macho yake, bali, ina mkono mrefu ndani yake, unaohisika katika nchi za Waislamu.
Ndoa hukubaliana na umbile la mwanadamu na huhakikisha kuendelea kubakia kwa wanadamu, urithi duniani, kuongezeka kwa vizazi, na ufanisi katika ardhi; hutimiza ahadi ya Mtume (saw) ya kuongezeka kwa idadi ya uzaanaji (wa Umma huu) mbele ya mataifa mengine siku ya Qiyama.
Bwana Hakimu Coleridge, aliyekuwa hakimu wa familia nchini Uingereza akiwa na tajriba ya zaidi ya miaka 37 kuhusiana na sheria ya familia alilinganisha kuvunjika kwa maisha ya familia kuwa ni maangamivu sawa na athari ya mvuke wa kidunia.