Kuporomoka kwa Jamii ni Mojawapo ya Matunda Machungu ya Mfumo wa Kibepari!
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Matumizi ya dawa za mfadhaiko kwa kila mtu nchini Uturuki yaliongezeka kwa asilimia 76 katika kipindi cha miaka 12 iliyopita. Katika miaka 2 iliyopita, mauzo yaliongezeka kwa masanduku milioni 10. Uuzaji wa masanduku milioni 49 na elfu 857 ya dawa za mfadhaiko mnamo 2019 uliongezeka hadi masanduku milioni 54 na elfu 625 mnamo 2020 na masanduku milioni 59 na elfu 641mnamo 2021.