Jumamosi, 21 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Maafa ya Maporomoko ya Ardhi kwenye Mlima Hanang: Somo Ambalo Halijazingatiwa

Hadi kufikia tarehe 9 Disemba, 2023, idadi ya vifo kutokana na maporomoko ya ardhi hivi karibuni katika Mlima Hanang katika Mkoa wa Manyara, Tanzania viliongezeka hadi kufikia watu 85. Mbali na idadi kubwa ya vifo, maporomoko hayo yalisababisha nyumba nyingi kuharibika au kusombwa na maji, kuathirika miundombinu na watu wa eneo kuyahama makaazi yao.

Soma zaidi...

Kutojali kwa Ulimwenguni: Mapambano ya Warohingya na Wapalestina Yafichua Kutofaa kwa Mfumo wa Kimataifa

Wakimbizi wa Rohingya wanaokabiliwa na mateso nchini Myanmar wanastahamili safari hatari za baharini kufika katika jimbo la Aceh nchini Indonesia. Ongezeko la hivi majuzi la waliowasili, linalozidi 1,600 tangu Novemba, linaathiri ukarimu wa kihistoria wa Aceh kwa wakimbizi wa Rohingya.

Soma zaidi...

Wataalamu wa Haki Waonya dhidi ya Kutenganishwa kwa Nguvu kwa Watoto wa Uyghur nchini China

Mnamo tarehe 26 Septemba 2023, wataalamu watatu huru wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa waliripoti kwamba kuna utenganishwaji wa lazima na sera za lugha kwa Uyghur na watoto wengine wa Kiislamu walio wachache katika shule za bweni zinazomilikiwa na serikali katika mkoa wa Xinjiang nchini China, ambapo ni sawa na kuoanishwa kwa lazima ndani ya thaqafa ya Kichina.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu