Madhalimu Hutumia Maadili ya Kiislamu Kuwahadaa tu Waislamu pekee
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Juni 8, shirika la habari la Radio Liberty nchini Tajikistan liliripoti: “Sherehe ya ufunguzi wa msikiti mkubwa zaidi nchini Tajikistan ilifanyika Dushanbe.