Alhamisi, 17 Safar 1446 | 2024/08/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Hizb ut Tahrir Yawahamasisheni Kufanya Kazi Nayo ili Kusimamisha Khilafah Rashida ya Pili kwa Njia ya Utume

Kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, Afisi Kuu ya Habari, kupitia ukurasa huu, itachapisha mabango kumi ya kuuamsha Umma wa Kiislamu na watu wenye nguvu na ulinzi ndani yake ili wafanye kazi pamoja nayo kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Kampeni, Kataeni Demokrasia na Msimamishe Khilafah

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan itaandaa kampeni yenye kichwa, "Kataeni Demokrasia na Msimamishe Khilafah" kwenye mitandao ya kijamii mwezi mzima ujao, InshaAllah. Kampeni hii inaleta ufahamu katika mifumo ya serikali, uchumi, na vikosi vya kijeshi vya Khilafah Rashida itakayosimama hivi karibuni, InshaAllah.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Amali Pana “Hebu Tuunganisheni Dua Zetu katika Kulaani (Israeli)"

Kwa kuzingatia hali ya wasiwasi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ya mashambulizi ya mara kwa mara ya umbile la Kiyahudi lililouteka nyara Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuuzingira kwake na mashambulizi ya mabomu ya kuendelea kwa muda wa miaka 16 kwenye Ukanda wa Gaza,

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu