Ardhi ya Kisiwa cha Warraq ni ya Watu na Wakaazi wake Haijuzu Kuwafukuza wala Kuwalazimisha Waiuze
- Imepeperushwa katika Misri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kisiwa cha Al-Warraq ndicho kikubwa kati ya visiwa vya asili katika Mto Nile. Uamuzi ulitolewa mnamo 1998 kukichukulia kama hifadhi ya asili, na mnamo 2017, uamuzi ulitolewa na Waziri Mkuu wa kukiondoa kutoka katika uamuzi wa hifadhi za asili na kukifanya kuwa eneo la uwekezaji, na mnamo 2018 uamuzi ulitolewa kuanzisha jengo jipya la mji kwenye ardhi yake.