Kuwapiga Risasi Waandamanaji Ndio Njia ya Madhalimu ya Kuhalalisha Umwagaji Damu Tukufu ya Muislamu
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo siku ya Ijumaa, tarehe 3/6/2022, watu kadhaa walijeruhiwa kutokana na risasi za moto zilizofyatuliwa dhidi ya waandamanaji waliokuwa na hasira wakipinga kupanda kwa bei ya umeme na kukatika kwa umeme kwa saa nyingi, katika mji wa Afrin viungani mwa Aleppo kaskazini.