Khilafah ni Tunda Linaloweza Kufikiwa, Basi Harakisheni katika Kulichuma, Enyi Waislamu!
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwezi wa Rajab huregea kila mwaka na huleta kumbukumbu nyingi zinazowafurahisha Waislamu, lakini mwezi wa Rajab unabeba kwa kizazi hiki cha Umma wa Kiislamu kumbukumbu maalum ambayo haiwezi kupuuzwa, ambayo ni kumbukumbu ya kuvunjwa Khilafah katika mwezi wa Rajab wa mwaka 1342 Hijria.