Serikali Yaiba Haki yetu ya Mafuta na Kuongeza Bei ya Mafuta Kila Wiki!!
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ongezeko la bei ya mafuta liliendelea kwa mara ya nne mfululizo. Hapo jana serikali ilipandisha bei ya lita moja ya petroli hadi pauni 672 na kufanya bei ya galoni kufikia pauni 3044 na bei ya lita moja ya gasoline kufikia pauni 642 na kufanya bei ya galoni kufikia pauni 2889.