Serikali kuongeza hofu nyengine ya njaa baada ya ile ya Virusi vya Korona!
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kama hatua yake mpya ya kukabiliana na janga la kiulimwengu la Virusi vya Korona, serikali imeamua kuyafunga maeneo mawili yenye idadi kubwa ya Waislamu ambayo pia ni vituo muhimu vya kibiashara; Eastleigh Jijini Nairobi na Old Town, Mombasa.