Jumanne, 28 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/10/01
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Khilafah Ikavunjwa … kwa hiyo Wanaoabudu Ng’ombe nchini India Wakawashinda nguvu “Ummah Bora Uliotolewa kwa Watu” … Enyi Majeshi ya Waislamu kwa Nini Hamuchangamki?!

Tangu Februari 24, 2020, mji mkuu wa India, Delhi, umekuwa ukishuhudia mauaji yanayotekelezwa na wanaoabudu ng’ombe dhidi ya Waislamu. Zaidi ya Waislamu 40 wameuawa na zaidi ya 200 wamejeruhiwa.

Soma zaidi...

Chini ya Kisingizio cha Hali za Kibinadamu Upatanishi Unafanyika huko nchini Syria na Muuaji wa Watoto na Wanawake

Zaidi ya raia 20 waliuawa Jumanne iliyopita katika mashambulizi yaliyotekelezwa na vikosi vya kijeshi vya Syria kwa kuwalenga raia ikijumuisha shule. Shirika la Ufuatilizi wa Haki za Kibinadamu liliripoti kwamba takribani watoto tisa na walimu watatu waliuawa katika kuzidi kwa mashambulizi katika mkoa wa Idlib kaskazinimagharibi mwa nchi.

Soma zaidi...

Utawala wa Uturuki Unaendelea Kutekeleza Jukumu lake Kikamilifu Kuyarudisha Tena Mapinduzi ya Ash-Sham katika Safu ya Utawala wa Kihalifu

Waziri wa Ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar alitangaza kuwa nchi yake itachukua hatua zote dhidi ya wale ambao hawatekelezi usitishaji mashambulizi huko Idlib, pamoja na wenye misimamo mikali, akisisitiza kuwa Ankara "itawalazimisha wao kutekeleza."

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu