Jarida la UQAB Toleo 87 - Aprili 2024
- Imepeperushwa katika Jarida la UQAB
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Aprili 2024 M.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Aprili 2024 M.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha Wanawake “Iregesheni Ramadhan katika Njia Yake ya Mwanzo”
Ripoti ya jibu la swali lililotolewa na Amiri wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amhifadhi.
Damu takatifu ya Waislamu ilimwagwa katika mwezi uliobarikiwa wa Ramadhan wakati wa mapigano makali kati ya Waislamu wa Jeshi la Pakistan na Waislamu wa maeneo ya makabila. Mnamo tarehe 17 Machi, tulipoteza vikosi saba vya Jeshi la Pakistani. Kisha mnamo tarehe 18 Machi, tulipoteza Waislamu zaidi, wakati Jeshi la Anga la Pakistan lilipopiga mabomu ndani ya Afghanistan.
Raia kadhaa wameuawa na kujeruhiwa kufuatia mashambulizi ya anga ya vikosi vya Pakistan katika majimbo ya Paktika na Khost nchini Afghanistan.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Dua ya Kunuti “Mikono Yaelekea Mbinguni na Majeshi Yaelekee Al-Aqsa!”
Kwa masikitiko makubwa Hizb ut Tahrir / Tanzania inaomboleza kwa ajili ya mmoja wa wanaharakati wake mahiri na mwanachama aliyejitolea:
Mamlaka za Kyrgyzstan zinafanya kampeni dhidi ya maadili ya Kiislamu, haswa mavazi ya Kiislamu, kwani kuna idadi kadhaa ya hatua zinazoonyesha hili.