Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki Mkao wa Kadhia za Umma
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sisi katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan tunafuraha kuwaalika ndugu zetu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na wanafikra na maoni kuhudhuria na kushiriki katika Mkao wa Masuala ya Ummah wa kila mwezi, ambao unahusu masuala ya kisasa