Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 400
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ametangaza upya wito wake wa kufanyika kwa uchaguzi wa mapema baada ya msukosuko wa uchaguzi mdogo ulioshuhudia chama chake kikichukua udhibiti wa mkoa muhimu wa Pakistan - Punjab.
Je, sadaqa inayoendelea ni sharti iwe ni ile ambayo maiti alikuwa ameitoa kabla ya kufa kwake? Ama hata watoto wake wakiitolea roho yake pia itahisabika?
Licha ya kufungwa kwa barabara na madaraja, na kupelekwa kwa askari wengi katika mji mkuu, Khartoum, na maelezo ya kina, muamala thabiti, na mtazamo wenye taarifa ya matukio,
Hotuba ya Ustadh Islam Abu Khalil, Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir nchini Uzbekistan, katika salamu za rambirambi za shahidi - kwa idhini ya Mwenyezi Mungu - Sabrjan Abdul Hamidov Shams Al-Dinwich kutoka Uzbekistan,
Kama sehemu ya amali ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Lebanon ya kuhuisha siku kumi za Dhul Hijjah, hizb ilifanya mikutano ya kusherehekea Sunnah ya Mtume (saw) katika miji ya Sidon na Tripoli mnamo siku ya Alhamisi tarehe 8 Dhul Hijjah na Ijumaa 9 Dhul Hijjah.
Wakenya watashiriki uchaguzi mnamo 9 Agosti, 2022. Majirani wa Kenya wanafuatilia uchaguzi huu kwa umakini, kwa kuwa Kenya ndio kitovu cha kiuchumi cha Afrika Mashariki na Kati.
Wakati wa ukumbusho wa kila mwaka wa mauaji ya halaiki huko Srebrenica Waziri wa Ulinzi, Kasja Ollengren aliomba "msamaha wa dhati" kwa niaba ya serikali kwa ndugu wa karibu na manusura wa mauaji ya halaiki huko Srebrenica.