Watu wetu wa Syria Wametokana na Sisi na sisi tumetokana Nao, sio Fadhla wala hakuna Kufadhiliwa
- Imepeperushwa katika Kuwait
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
“Mfano wa waumini katika mapenzi baina yao, kuhurumiana kwao, kujaliana kwao ni kama kiwiliwili kimoja; pale ambapo kiungo kimoja chauma, basi kiwiliwili chote huumwa, kwa sababu ya kukosa usingizi na homa.” (Haina shaka)