Jumamosi, 02 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uchaguzi Sio Suluhisho na Hautaleta Jambo Lolote Jipya, Hata kama Watu Wanaotekeleza Utawala Watabadilika na Wanajeshi Kuondolewa kwenye Orodha

Siku hizi, sauti zinamtaka Sisi ang’atuke na aondoke kwa salama kutoka kwa mandhari. Wakosoaji wa sera na maamuzi yake wameibuka kutoka kwa wale waliolelewa katika kukumbatia serikali hiyo na walikuwa miongoni mwa nguzo zake enzi ya Mubarak.

Soma zaidi...

14 Agosti, Risala ya Siku ya Uhuru Waislamu wa Pakistan, Bangladesh na Afghanistan Lazima Wasimamishe Khilafah ili Kuwaunganisha na Kukabiliana na Tishio Kubwa la Muungano wa Marekani na India

Baada ya kugawanya India mnamo 14 na 15 Agosti 1947, mamilioni ya Waislamu waliobaki nchini India sasa wanateseka sana chini ya kasumba ya dhehebu ya "Hindutva", ili Modi aweze kushinda uchaguzi.

Soma zaidi...

Ulaya Kukimbizana na Wakati katika Kuzinyonya Rasilimali Muhimu za Tunisia

Chini ya mwezi mmoja baada ya Tunisia kutia saini mkataba wa maelewano juu ya Ushirikiano wa Kimkakati na Mpana na Muungano wa Ulaya, ilitangazwa kwa haraka kuwa ilipata zaidi ya euro milioni 300 kutoka kwa Tume ya Ulaya kusaidia ufadhili wa mradi wa uunganishi wa umeme kati ya Tunisia na Italia, haswa kati ya Menzel Tamim na Sicily.

Soma zaidi...

Hakuna Wokovu kutoka kwa Uhalisia huu wa Mateso kwa Wanawake isipokuwa kupitia Dola inayotetea Haki Khilafah Rashidah kwa Njia ya Utume

Mwanachama wa zamani wa Afisi ya Utendaji ya Chama cha Madaktari wa Sudan, Mtaalamu katika tiba ya ndani, majanga, na maradhi ya kuambukiza, Dkt. Adibah Ibrahim al-Sayyid, alifichua usajili wa kesi 316 za ubakaji, pamoja na kesi zinazohusisha watoto, kulingana na vyanzo vya matibabu jijini Khartoum Na Darfur.

Soma zaidi...

Mapinduzi ya Niger na Upotezaji Endelevu wa Dira wa Majeshi ya Waislamu

Alhamisi iliyopita, Walinzi wa Rais nchini Niger walifanya mapinduzi dhidi ya serikali hiyo, kwani walitangaza katika taarifa iliyopeperushwa na runinga kwamba walikuwa wamemfukuza Rais wa Niger Muhammad Bazoum, na kuunda Baraza la Kitaifa kwa ajili ya Ulinzi wa Nchi linaloongozwa na Jenerali Abd al-Rahman Chiani, na punde tu Jeshi liliwafuata kwa kutangaza uungaji mkono wake kwa viongozi wa mapinduzi.

Soma zaidi...

Domo Tupu la Serikali ya Australia juu ya 'Maeneo ya Wapalestina Yanayokaliwa Kimabavu' Linaficha Uhalifu wake katika Kuwezesha Ukaliaji Kimabavu wa Palestina Yote

Serikali ya Kifederali la Labor jana iliongeza mazungumzo yake mtupu juu ya Palestina kwa kuthibitisha Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza kama 'maeneo yaliyokaliwa kimabavu', na makaazi yoyote kwenye ardhi hizi kama 'yasiyo uhalali wa kisheria' na hufanya kuwa 'ukiukaji wa sheria za kimataifa'.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu