Ijumaa, 01 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Serikali Inachapisha Mabilioni ya Noti za Sarafu ambazo Zinachochea Moto wa Mfumko wa Bei, na Kisha Kumwaga Machozi ya Mamba huku Watu Wakichomeka ndani ya Moto wake!

Bei ya umeme imeongezeka kwa Rupia 18 kwa kila kipimo tangu Julai mwaka jana. Leo umeme, pamoja na ushuru, ni Rupia 50 kwa kila kipimo. Bei za petroli zinagusa Rupia 300 kwa lita. Kiwango cha mfumko wa bei kiko kiwango cha juu katika historia ya Pakistan.

Soma zaidi...

Mfumo wa Demokrasia Umefeli Kulinda Haki za Raia kote Ulimwenguni bila kujali Dini, Kabila au Rangi zao

Mnamo tarehe 18 Agosti 2023, Waziri Mkuu wa Muda, Anwaarul Haq Kakar, alitoa kemeo kali dhidi ya watu waliohusika katika kukandamiza na kuchoma makanisa huko Jaranwala mapema wiki hii. Hii ni huku maafisa wakuu wakiwa na mashaka juu ya ukweli wa madai ya kufuru ambayo yalisababisha vurugu hizo.

Soma zaidi...

Jamii ya Rohingya ni Ummah Uliosahauliwa bila ya Khilafah

Mnamo tarehe 11 Agosti 2023, BBC iliripoti kwamba Waislamu 23 wa Rohingya walikufa na 30 hawajulikani waliko baada ya mashua iliyobeba wahamiaji wanaotoroka serikali kandamizi ya Myanmar kuzama. Miili ya Warohingya 23 wanaokimbia kwa ajili ya maisha yao kutoka Jimbo la Rakhine wamepatikana baada ya mashua yao kuzama.

Soma zaidi...

Hali ya Kikanda, uchoraji mipaka ya ardhi! Kuweka matayarisho katika kambi ya Ain al-Hilweh kwa ajili ya vita na operesheni za usalama

Majed Faraj, mkuu wa Huduma Kuu ya Ujasusi katika Mamlaka ya Palestina, aliwasili mnamo 24/7/2023 na kukutana na uongozi wa ngazi ya juu nchini Lebanon. Iliripotiwa kwamba aliomba mkutano na Ziyad Nahaleh, Katibu Mkuu wa harakati ya Jihad ya Kiislamu, ambaye alikataa mkutano huo na kuishia kwa mazungumzo ya simu.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu