Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  23 Jumada I 1442 Na: HTS 1442 / 38
M.  Alhamisi, 07 Januari 2021

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Sudan Yatia Rasmi Saini Muhuri wa Khiyana Pamoja na Umbile la Kiyahudi
(Imetafsiriwa)

Sudan ilitia saini rasmi, juu ya (Mkataba wa Abraham), tangazo la usaliti wa kuhalalisha mahusiano na umbile la Kiyahudi, na ilisainiwa kwa upande wa Sudan na Waziri wa Sheria Nasruddin Abdel Bari, huku upande wa Amerika na Waziri wa Hazina Stephen Mnuchin, ambaye aliwasili Sudan jana Jumatano, haswa kwa jambo hili; Jambo ambalo halikudhihirika kwa watu, bali lilikuwa la ghafla, kwani ziara hiyo ilifichwa kuwa inahusiana na uchumi, na hilo lilikuwa suala la majivu machoni.

Ilikuwa wazi kuwa serikali hii, kama serikali zingine zote za vibaraka katika nchi za Waislamu, haiwakilishi watu wa Sudan, bali ilitia saini makubaliano hayo ili kumridhisha bwana wa Ikulu ya White House. Pia tunathibitisha uongo wa serikali hii, ambayo inadai kuwa haitasawazisha mahusiano isipokuwa kupitia kura ya maoni ya Bunge. Bali, Waziri Mkuu Hamdok alisema: Usawazishaji mahusiano na umbile la Kiyahudi hauko ndani ya haki ya kipindi cha mpito, lakini licha ya hayo, hawa hapa wanadhihirisha ukweli wao na kutia saini muhuri wa usaliti na aibu!!

Sisi katika Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Sudan, na pamoja nasi wanasimama Waislamu wote, kujiweka mbali, kwa Mwenyezi Mungu, na uovu huu mkubwa na khiyana kubwa, na tunasisitiza yafuatayo:

Kwanza: Palestina ni ardhi ya Kiisilamu ambayo ilinyakuliwa na Mayahudi, kwa hivyo hairuhusiwi kwa Muislamu kuiachia hata ikiwa angepewa hazina za ulimwengu, kwa sababu Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa ni qibla cha kwanza cha Waislamu, na wa tatu wa Misikiti Mitakatifu Mitatu, ambayo msafiri anaiendea, Mtume (saw) amesema:

«لَا تُشَدُّ الرِّحَالُ إِلَّا إِلَى ثَلَاثَةِ مَسَاجِدَ: مَسْجِدِي هَذَا، وَمَسْجِدِ الْحَرَامِ، وَمَسْجِدِ الْأَقْصَى

"Msafiri asifunge safari ila kwenda katika misikiti mitatu tu: Msikiti wangu huu, Msikiti wa Al Haram, na Msikiti wa Al-Aqsa (Bait al-Maqdis).”

Pili: Waislamu wa Sudan hawakubali usaliti huu ambao ulipangwa usiku, na hawatakubali gharama ya kusalimisha matukufu ya Waislamu iwe ni dolari chache ambazo hazinenepeshi wala kutosheleza njaa. Badala yake, ni sarabi ya Baqi'a  ambayo mwenye kiu hudhani kuwa ni maji, kwa hivyo watu wa Sudan hawatafuti riziki kupitia kile chenye kumuudhi Mtoaji riziki Mwenye Nguvu ya kudumu!!

Tatu: Namna wasawazishaji mahusiano watakavyo sawazisha, na watawala vibaraka kutembea kwa unyenyekevu nyuma ya Amerika na umbile la Kiyahudi, Umma hautasawazisha mahusiano, lakini badala yake utafanya kazi kwa ajili ya kuwang'oa watawala hawa Ruwaibidha (wajinga) na kusimamisha jengo kubwa la Uislamu juu ya magofu yao; Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, ambayo itarudisha izza kwa Ummah na kuziregesha ardhi zilizokaliwa na Mayahudi na wengineo mikononi mwa Ummah.

Nne: Ardhi Iliyo Barikiwa kamwe haitarudi, na kamwe ufisadi wa Mayahudi ndani yake hautaisha isipokuwa kwa kusimamishwa Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, ambayo Hizb ut-Tahrir inaifanyia kazi pamoja na Ummah, kwa kuwa ndio pekee inayotimiza bishara njema ya Mtume (saw) aliyesema:

«لَتُقَاتِلُنَّ الْيَهُودَ، فَلَتَقْتُلُنَّهُمْ حَتَّى يَقُولَ الْحَجَرُ: يَا مُسْلِمُ هَذَا يَهُودِيٌّ، فَتَعَالَ فَاقْتُلْهُ».

“Kwa yakini mtapigana na Mayahudi, na mtawauwa mpaka jiwe litasema: Ewe Muislamu huyu hapa Yahudi, basi njoo umuue.”

Basi Enyi Waislamu wa Sudan: nyanyukeni, na muwakatae Ruwaibidha hawa, na fanyeni kazi pamoja na Hizb ut-Tahrir kwa ajili ya izza yenu na radhi za Mola wenu ambaye humnusuru anayemnusuru.

 [وَلَيَنْصُرَنَّ اللَّهُ مَنْ يَنْصُرُهُ إِنَّ اللَّهَ لَقَوِيٌّ عَزِيزٌ]

“Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu” [Al-Hajj: 40].

Ibrahim Uthman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu