Jibu la Swali: Tofauti Kati ya Manabii na Mitume, Amani Iwe Juu Yao
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
“Kwa hivyo, Musa (as) alikuwa Nabii kwa sababu alipewa wahyi na Shari’ah na Mtume kwa sababu Shari’ah hii ilikuwa kwa ajili ya utume wake. Kwa upande mwingine, ingawa Harun (as) pia alikuwa ni Nabii kwa sababu alipewa wahyi na Shari ́ah, hakuwa Mtume kwa sababu Shari ́ah iliyoteremshwa kwake haikuwa kwa ajili ya utume wake, bali ilikuwa kwa ajili ya utume wa Musa (as)”.