Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Kenya Wakutana na Wanazuoni Mashuhuri wa Kiislamu
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/Kenya ukiongozwa na Ustadh Mahd Ali - Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir nchini Kenya akifuatana na Ustadh Yusuf Ghasani na Ali Mwangi ambao wote ni wanachama wa Hizb ut Tahrir