Ziara ya Netanyahu ni Shambulizi kwa Watu wa Jordan
- Imepeperushwa katika Jordan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika wakati ambapo mashirika rasmi na vyombo vya habari vya serikali vinakusanya maoni ya umma dhidi ya serikali ya Netanyahu yenye msimamo mkali - na serikali zote za kigaidi na itikadi kali - tangu kushinda uchaguzi, na uhamasishaji huu wa vyombo vya habari unaanza na kulaani uvamizi wa Ben Gvir wa Msikiti wa Al-Aqsa.