Kubakia kwa Hali Halisi ni Sababu ya Kuendelea kwa Migogoro nchini Jordan na Kurudi kwa Ummah kwenye Chombo Chake cha Asili ndiko Kutakakoikomesha
- Imepeperushwa katika Jordan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sisi katika Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan tunafuraha, na ni heshima kwetu uwepo wako mzuri na ushiriki wako wa ukarimu katika kongamano la kisiasa litakalofanywa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan
Ujumbe wa Umoja wa Ulaya jijini Khartoum ulitangaza utoaji wa kitita cha euro milioni 15, ambapo euro milioni 5 zitatengwa kusaidia na kuimarisha utawala wa sheria kupitia upatikanaji wa haki.
Wakati wa siku hizi, mnamo 1971, Pakistan iligawanywa katika sehemu mbili, ya kwanza iliitwa Pakistan, na nyingine, Bangladesh, baada ya kuwa wameunganishwa kama umbile moja kwa karne nyingi.
Kama ilivyotarajiwa, kwa kuanza kwa msimu wa baridi katika nchi yetu, kuharibika kwa mfumo wa nguvu kumejitokeza tena. Lakini mgogoro wa nishati wa mwaka huu ni mkubwa kuliko hapo awali kwa sababu kuna habari kwamba idadi ya watu waliokufa kutokana na gesi ya carbon monoxide iliongezeka kabla ya kuanza kwa msimu wa baridi.
Maadhimisho ya miaka kumi na mbili ya kuzinduliwa kwa mapinduzi ya Umma yanatuangukia tarehe 17 Disemba hii. Makafiri wa kikoloni wa Magharibi na vibaraka wao walio madarakani wanafanya kazi kwa njia na mbinu zote kuvunja utashi wa watu, kukandamiza ari yao ya kimapinduzi, na kuondoa jaribio lolote la kuleta mabadiliko makubwa kwa msingi wa Uislamu, hasa pale Uislamu na Khilafah ilipokuwa ndio rai jumla katika nchi za Kiislamu, ikiwemo Tunisia.
Mwandishi wa habari kutoka gazeti la ‘The Sunday Telegraph’ aliwasiliana na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Uingereza akiuliza kuhusu shughuli za chama na maoni ya hivi majuzi ya Mbunge mmoja ambaye alisema ana wasiwasi na ukaribu wa shughuli za wanachama wa Hizb ut Tahrir wanaoomba hifadhi katika jiji hili.
Washiriki katika mjadala wa jopo, ulioandaliwa na Wizara ya Sheria na Chama cha Biashara na Viwanda katika mji mkuu, Sana'a, juu ya rasimu ya sheria ya kuzuia miamala ya riba iliyoandaliwa na Wizara ya Sheria, walipendekeza rasimu hiyo ipelekwe kwenye kamati ya kisheria, kiuchumi na Sharia kwa ajili ya uchunguzi kwa kuzingatia uzoefu wa Kiarabu na kimataifa.
Kitabu, ‘The Handbook against Child Marriage’, kilichotayarishwa na Kituo cha Mafunzo ya Wanawake nchini Palestina chini ya mpango uliopewa jina la Haya unaofadhiliwa na shirika la Ujerumani la Brot für die Welt - ReliefWeb [Bread for the World – Protestant Development Service] na kwa ushirikiano na Wizara ya Elimu ya Mamlaka ya Palestina inawalenga wanafunzi wa kiume na wa kike kuanzia darasa la saba hadi la kumi na moja
Siku chache zilizopita, tuliona makundi, vyama, na taasisi zinazofungamana na Umoja wa Mataifa zikifanya kampeni zenye vichwa vinavyobeba maana zinazokinzana na herufi za kimsingi za Waislamu kwa upande mmoja, na hazina uhalisia wowote miongoni mwetu kwa upande mwingine.