Kuifanya Sekta ya Umma kuwa ya Kisasa Kunaelekea Kufeli Chini ya Mfumo wa Kisekula wa Serikali Uliotenganishwa na Usimamizi wa Maslahi ya Watu na Uchungaji wa Mambo yao
- Imepeperushwa katika Jordan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waziri Mkuu, Bishr Al-Khasawneh, alitangaza matokeo ya Kamati ya Kuboresha Sekta ya Umma, baada ya kazi ya miezi 6, ambayo inafanya kazi ya kutathmini hali za idara na taasisi 97 za serikali.