Mamlaka ya Kihouthi Yamkamata Mmoja wa Mashababu wa Hizb ut Tahrir kwa sababu ya Kauli ya Hukmu ya Sharia kuhusu Zaka!
- Imepeperushwa katika Yemen
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mamlaka ya Kihouthi ilimkamata Ndugu Abdullah Ali Al-Qadi kabla ya jua kuzama mnamo Jumanne, tarehe 27 Ramadhan iliyobarikiwa 1444 H, ambapo alitekwa nyara mbele ya nyumba yake katika mji mkuu, Sana'a, katika siku tukufu, kwa shtaka la kutaja hukmu tukufu, "Zakat kati ya mfumo wa Kiislamu na mfumo wa kisekula wa Houthi."