Enyi Waislamu! Ni Faradhi kwa Waumini Kuachana na Watawala Wanaounda Mahusiano na Umbile Haramu la Kiyahudi
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Serikali ya khiyana ya Hasina inataka kuhalalisha mahusiano na umbile nyakuzi la Kiyahudi wakati linafanya uvamizi wa kikatili katika Kambi ya Wakimbizi ya Jenin katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu.