Jumatatu, 04 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/07
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Haishangazi kwamba wale waliomfanyia Khiyana Mwenyezi Mungu, Mtume wake na Waumini kuweka Mikono yao kwenye Mikono ya Mayahudi Wanyakuzi Wauaji

Mnamo Alhamisi, tarehe 02/02/2023, Waziri wa Mambo ya Nje wa umbile la Kiyahudi, Elie Cohen, na ujumbe aliofuatana nao walikutana na Rais wa Baraza Kuu la Utawala wa Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, mbele ya Waziri Mteule wa Mambo ya Nje, Balozi Ali Al-Sadiq

Soma zaidi...

Mtoto asiye na Mfumo wa Kifamilia yuko Hatarini kama ulivyo Hatarini Ummah usio na Mfumo wake wa Kutawala

Hakika dunia iko katika machafuko na machafuko haya yanajitokeza katika kila ngazi ya jamii, mojawapo ni maisha ya familia na kuvunjika kwake. Kama mtaalamu anayefanya kazi na vijana katika nchi za Magharibi, kufeli kwa jamii kwa jumla kunadhihirika zaidi katika faragha ya chumba changu cha utoaji ushauri.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir ni Chama cha Kimfumo na Kisiasa ambacho Kinaona kuwa ni Haramu Kubeba Silaha kwa ajili ya Kusimamisha Khilafah kwa Njia ya Utume. Kutafuta Nusrah kwa ajili ya Kusimamisha Tena Khilafah ni Faradhi

Watawala wa Pakistan wametikiswa na kufeli kikamilifu kwa mfumo wa sasa na wito unaokua wa Khilafah. Wakifichua kufilisika kwao wenyewe kimfumo na kisiasa, wanajaribu bila mafanikio kukinasibisha chama cha kimataifa, kimfumo, kisiasa, Hizb ut Tahrir, na ugaidi, kupitia ripoti ya habari katika Gazeti la "Daily Aaj" ('Daily Today') la mnamo tarehe 11 Februari 2023.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Malaysia (HTM) Ripoti Maalum juu ya Maandamano na Kukabidhi Risala kwa Ubalozi wa Uswidi na Uholanzi

Kufuatia matukio mawili tofauti yaliyohusisha kitendo cha kinyama na cha uoga cha kutusi kupitia kuchoma moto nakala ya Quran, Hizb ut Tahrir/Malaysia (HTM) ilifanya maandamano ya amani na kuwasilisha risala za maandamano kwa Balozi za Uswidi na Uholanzi jijini Kuala Lumpur.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu