Jumanne, 05 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/08
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afya Yetu ni Utajiri Wetu

Uvumbuzi, ubunifu na uboreshaji wa teknolojia unaendelea kushuhudiwa kwa kasi katika kila nyanja ya maisha. Imepelekea kiasi kwamba katika karne hii ya ishirini na moja, wanadamu wamepiga hatua kubwa katika ulingo wa kisiasa, kijamii, kiuchumi na kielimu kutokana na kuikumbatia teknolojia.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan: Ripoti ya Habari 24/11/2022

Muendelezo wa amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika maeneo na mikoa tofauti tofauti ya nchi ili kujenga rai jumla yenye ufahamu juu ya hukmu za Uislamu na suluhu zake zinazohusiana na mifumo tofauti tofauti ya maisha, ambazo zinashughulikia mapigano na migogoro ya kikabila inayoendelea katika maeneo mbalimbali nchini...

Soma zaidi...

Uongozi wa Kijeshi Sio Ngawira

“Waziri Mkuu Shehbaz Sharif alimteua Jenerali Asim Munir kama mkuu wa jeshi mpya wa Pakistan, chaguo ambalo linaweza kuimarisha upinzani wa Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan kwa serikali na kuzua mapigano yake makubwa na jeshi. Khan, ambaye kama waziri mkuu alimuondoa Munir kutoka wadhifa wa mkuu wa upelelezi, atauona uteuzi huo kama kikwazo kinachowezekana kwa jaribio lake la kulazimisha uchaguzi wa mapema...

Soma zaidi...

Demokrasia na Mfumo wake wa Kiulimwengu ni Minyororo ya Utumwa wa Kimarekani Simamisheni Tena Khilafah kwa Ajili ya Mabadiliko Halisi

Mnamo tarehe 27 Machi 2022, Imran Khan alifichua operesheni ya mabadiliko ya serikali kupitia njama ya Marekani kwenye mkutano wa hadhara, na akatangaza mapambano ya umma dhidi ya udhibiti wa Marekani juu ya Pakistan. Hata hivyo, katika muda wa miezi saba na nusu tu, Imran Khan alimaliza rasmi kampeni hii.

Soma zaidi...

Takeni Kukomeshwa kwa Ushirikiano na Marekani, ili Kupata Fahari ya Majeshi Yetu, Ardhi Zetu na Dini Yetu

Uteuzi wa mkuu mpya wa jeshi kwa jeshi la Waislamu lenye nguvu zaidi duniani ulijiri wakati wa ukataji tamaa mkubwa. Tulishusha pumzi, tulipoona mwisho wa enzi chungu ya miaka sita ya Jenerali Bajwa. Kutufunga kwa ushirikiano na Marekani, Mafundisho ya Bajwa yaliharibu sifa ya wanajeshi, na kusababisha ukosefu wa utulivu na usalama juu yetu.

Soma zaidi...

Qatar ni nchi ya Kisekula na Kamwe Haitapiga Marufuku Unywaji Pombe katika Kombe lake la Dunia

Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) lilitangaza kuwa vinywaji vyenye vileo havitauzwa katika viwanja vinane vitakavyoandaa mechi za Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar.

Vinywaji vya vileo vilipaswa kuandaliwa “katika maeneo yaliyotengwa ndani ya viwanja vya michezo,” ingawa uuzaji wao unadhibitiwa vikali katika dola hiyo ya Ghuba ya Kiislamu.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu